Baada ya kusambaza picha hii hakuna hata chombo cha habari ilipinga na kukanusha picha na kueleza kuwa picha hiyo si ya Hujri Ibn Adiy, hata mawahabi ambao waharamisha kupiga picha hakujatoka kauli rasmi, na huenda picha hii haitoungwa mkono na yoyote yule.
Picha hii imetofautiana na historia ya Kiislamu kwani Hujri Ibn Adiy alikatwa kichwa chake yeye na wafuasi wake enzi za Muawiya Ibn Abi Sufian.
Sihika la habari la Ahlul Bayt(as) bila kuunga mkono yatekeleza wadhifa wake tu katika kusambaza habari kama hizi.
